Fiqhi ya Ibada Kwa Njia ya Picha : Kiswahili "for iPhone"


4.0 ( 3750 ratings )
Éducation Livres
Développeur fada media
3.99 USD

Tatbiiq’ (Utekeleza wa) Fiqhi Ibadat yenye picha huzingatiwa kuwa ni utekelezaji wa kwanza kabisa wa mafundisho ya Ibada kwa muislamu katika: Tohara, Swala, Funga, Zakat na Hijja kama ilivyokuja katika Qur-aan na katika sunna za Mtume kwa njia mbali mbali; inayokusanya: Nasw yenyewe (kama ni aya au Hadithi), sauti na picha zilizotuwa na zenye kutembea, masomo kwa njia ya video; yenye kusaidia katika wepesi na hali ya uharaka zaidi wa kujifunza na kutekeleza; nayo ni kutokana ya kuwa Nasw pekee haimtoshelezi mtu kujifunza fiqhi kwa njia sahihi zaidi na kwa ukamilifu wake, lakini kujifunza makini kunahitaji njia ya kuona mbali na Nasw yenyewe, haya yanathibitishwa na kauli yake Mtume, “Swalini kama mlivyoniona nikiswali.”


Fiqhi ya utekelezaji wa ibada kwa njia ya picha ifuatayo:

1-Zaidi ya video 55 za mafundisho
2-Kiasi cha masomo 57
3-Mamia ya picha yenye maelezo na mafundisho


Fiqhi hii ya utekelezaji inasifika kwa yafuatayo:

1-Uwezekano wa kutafuta Nasw yoyote, pamoja na uwezo wa kutafura aya na Hadithi mbali mbali.
2-Chaguzi mbali mbali za vyombo vya uratibu
3-Uwezo wa kuweka mwanga wakati wa kusoma
4-Viweko ambayo unaweza kuweka masomo yaliyokupendezesha na video mbali mbali kwa urahisi wa kuyarejea.
5-Urahisi wa utumaji wa uyapendayo kwa marafiki zako kwa njia ya barua pepe.
6-Rafiki zako kushiriki kwa yale yanayokupendeza katika programu katika tovuti za kijamii kama vile face book na twiter na nyinginezo.


Kama ambavyo ‘Tatbiiq’ hii imefasiriwa kwa zaidi ya lugha tano, nazo ni: (Kiingereza, Kifaransa, Kichina, Ki-indonesia, Kibengali, Kifursi, Kirusi, Kitajiki, Kiurdu, Kihausa, Kiswahili, Kihispania, Kireno, Kijerumani, Kihamhari) baadhi zimeshateremshwa na nyinginezo zinafuatia utekelezaji wake InshaAllah.

Fiqhi ya Ibada iliyokuwa na picha-Ni lazima kwa Kila nyumba ya Muislamu.